Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
PAGALE ZURI LINAUZWA NA BANK, TSHS.35 MILIONI,MATOSA/GOBA.
Ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka GOBA road.
Hii nyumba imebaki umaliziaji tu.
Imejengwa Imara na inavutia.
Vyumba Vitatu 3 ( Masta 1)
Sebule,Jiko,Dining-room,Store na
Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255724591548.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.