Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
Jumba la kifahari linauzwa ipo goba ostarbey
Ukubwa wa Ebeo ni sqmt 700
Bei million 330 maongez yapo mita 100 toka lami
Vyumba vitatu vyote master,Sebule Kubwa Jiko nzuri na Choo cha ndani
Nyumba ina Hati kutoka wizara ya ardhi
0652472014
0754344786