Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA GONGO LA MBOTO BWERA - (MILLION 48)
Mawasiliano: 0625637254 / 0788077337
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen & Public Toilet
Umiliki: Hati ya Serikali ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Umbali: Meter chache kutoka center
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 48 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=