Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Igoma, Mbeya
NYUMBA INAUZWA IGOMA
-ina vyumba vitatu vya kulala, kimojawapo ni self contained, sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 30x20
-ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 85
-maongezi yapo
NB:-
-nyumba ya nne (4) kutoka barabara ya lami
☎️ 0743220097