Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Iyumbu, Dodoma


📌 Nauza nyumba iyumbu udom (kilimo kwanza)
📌 nyumba ina vyumba vitatu viwili master kimoja single,Dining, jiko na sebule kubwa
📌 document ni saveiform
📌 1km mpka lamiii
📌 bei ki 52ml Tu Tajiri
📌 ina fence pande mbili
📌 piga simu Twende site boss wangu mambo ni mengii muda mchache🤝