Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA VYUMBA VITATU (3) TSHS.170 MILIONI, KIBADA,KIGAMBONI.
Wastani wa kilomita 8 kutoka Ferry.
Na ni mita 300 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja SQM.700.
Umiliki ni MKATABAWAMAUZIANO.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia kuna Banda zuri lenye vyumba 2 (Masta)
.
Maji ya Dawasco yapo.
NI NYUMBA YA KUHAMIA.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_______________mWn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
.