Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA INAUZWA
MAHALI KIBAHA KWA MFIPA
UMBALI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA BADO MPYA KABISA
UKUBWA WA KIWANJA SQM 600(30*20)
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITTING ROOM
DINNING ROOM
JIKO
PUBLIC TOILET
BEI MILLION 50/=
SITE VISIT 20000
☎️ #0757208653