Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani







#NYUMBA INAUZWA KIBAHA MWENDAPOLE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#JIKO NZURI
#DINNING ROOM
#Choo cha faimilia
KWA NJEE KUNA SERVANT QUARTER ZA CHUMBA CHUMBA KAMA TANO HIVI NA VYOO VYA NJEE
UKUBWA WA ENEO NI SQMT 1600
ENEO TAYARI LIMEPIMWA NA SOON HATI ITATOKA KUTOKA WIZARANI
#BEI NI MILIONI 85 #MAONGEZI YAPO
NYUMBA IPO UMBALI WA KILOMETA 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA IPO KWENYE BARABARA YA MTAA KWAHYO UNAWEZA PIA KUWEKA FRAME PIA
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO NA MAJIRANI NI WAZURI KABISA
SERVICE CHARGE NI TZS 50,000/-
#0710614924
#0688653940