Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA YENYE VYUMBA 3, TSHS.60 MILIONI TU., KIBAHA-MADAFU.
Na hii ni nafasi yako nyingine......
MADAFU-KIBAHA ni umbali wa kilomita 48 tu kutoka Dar es Salaam Mjini
(Mwendo wa Saa 1:40 kwa Gari)
Na hii nyumba ipo mita 200 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ni nyumba ambayo inajitegemea.
Ipo ndani ya Fensi,
Pia ina Banda la vyumba 2 ambalo HALIJAKAMILIKA ujenzi.
Nyumba Ina vyumba 3 (Masta 1)
Pia ona Sebule,
Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mpg