Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE, NYUMBA HII INAUZWA KIBAMBA SHULE BARABARA MPYA YA LAMI
Vyumba 3 vya kulala viwili master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet
Pia kuna servant corter ya chumba na sebule, pia ENEO kubwa Ambalo unaweza kujenga au kufanya chochote lipo
Eneo SQM 1200
Umbali KM 3 Tu barabara ni lami na ukiacha Lami Mita Mia Tu upo nyumbani
Eneo limepimwa hati bado, sales agreement kutoka serikal za mitaa
Bei Mil. 120 Maongezi yapo
Kupelekwa kuona nyumba za kununua 25,000/=
0679447338
0753454167