Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


ENEO LINAUZWA💥💥💥💥💥
LOCATIONI :KIGAMBONI KISOTA
Ukubwa :SQM 800✅HATI YA WIZARA
✅Lina nyumba nzuri kabisa yenye vyumba vitatu kimoja kati yake ni master sebule & jiko
✅Umeme tayari upo site
✅Eneo lote limezungushiwa. Fensi
✅Eneo lina kisima chenye maji baridi na pampu ya kupanidisha maji (water is available 24/7
Umbali kutoka ferry ni 4km tu
Umbali kutoka darajani ni 3.5km
Umbali kutoka rami ni 300m tu
Matumizi
Unaweza kufanya makazi binafsi na. Biashara
Majirani na barabra zake hazina kuuliza tajiri karibu site najua utapenda na hutotaman kurudi au kuiacha hii mali adhimu
BEI 230m ✅NEGOTIABLE
NB SITE VISIT 12 working hrs
SERVICE CHARGE 20k tu
MAWASILIANO
📶0746407197
Kwa wale pia wanaouza property zao basi namba zipo juu