Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
STAND ALONE HOUSE FOR SALE KIGAMBONI
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA KINA CHOO NDANI, SEBULE,DINNING NA JIKO LA KISASA
LOCATION UNGINDONI
✅UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 700
✅KIWANJA KINA HATI KAMILI
✅MITA 500 KUTOKA MAIN ROAD
✅HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO ZOTE
👉BEI NI MILLION 150Tsh 🤝 Negotiatable
Nipigie 0756588268