Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo kigamboni fancty Nyumba ya vyumba 3 vya Kulala vyumba vyote master toilet pclic kicheni stoo Nyumba umeme upo maji yapo ukubwa WA kiwanja sqm 500 nyumba ina kisima cha cha maji Nyumba full security ya umeme Nyumba ndani ya fensy Nyumba aipo Mbali Na Barbara kuu ya rami kama km 2 kufika kwenye nyumba bei ml 120