Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA, IPO KARIBU NA FUNCITY, KIGAMBONI
✅️Nyumba ina vyumba 3 vya kulala
✅️ Chumba kimoja master
✅️Nyumba ina public toilet, jiko, dining room, na washing room
✅️Nyumba ina umeme na kisima cha maji,
✅️Ukubwa wa kiwanja ni sqm 594
✅️Maji yapo
✅️Nyumba ipo ndani ya fensi
✅️Kutoka barabara kuu ya lami mpaka kwenye nyumba ni km 1.5
✅️ Bei ya nyumba ni milioni 68 (Maongezi kidogo yapo)
✅️Wasiliana nasi kupitia .....#0683491594 #0716974073