Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya, Pwani
NYUMBA NZURI INAUZWA KILUVYA MPAKANI - ( MILLION 68 ).
✅Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
✅Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
✅Ukubwa Wa Eneo: SQM 750
✅Umbali: 1 Kilometres Kutoka Barabara Kuu Ya Lami (Morogoro Road )
✅Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Majirani Wamepangika
Bei : 68 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0788077337 ☎️0625637254