Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya, Pwani
NYUMBA NZURI INAUZWA KILUVYA MPAKANI
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 750
Umbali: 1 Kilometres Kutoka Morogoro Road
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 65 Million (Maongezi Kidogo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=