Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







ENEO LINAUZWA KIMARA SUKA
UMBALI KM 2.5
BEI MILIONI 35 MAONGEZI YAPO
LINA SQMT 400
LINA NYUMBA YA VYUMBA VITATU WANAISHI WAPANGAJI
UMEME UPO
MAJI YAPO
LIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KWENDA SAITY SERVICE CHARGE 30,000
###0655256419