Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
ENEO ZURI KUBWA LENYE NYUMBA MBILI,LODGE & BAR (MILLION 150) LINAUZWA KWA NIABA YA BANK KIMARA STOP OVER
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Kuna Lodge Ya Vyumba Kumi(10), Servant Quarter Ya Vyumba Viwil, Kuna Vyumba Ya Vyumba Vitatu, Kuna Bar Yenye Counter Mbili (2)
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 3150
Bei : 150 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=