Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


π―οΈStand Alone Kubwa Sana ( Nyumba Inayojitegemea kwenye Fensi)
π KIMARA MWISHO
π 400,000/= *6
_________
___
#Umbali wa Dakika 12 tu kwa Miguu
β’ Vyumba 3 vya kulala (Kimojawapo ni Master Kubwa)
β’ Sebule Kubwa
β’ Dinning
β’ Jiko
β’ Public Toilet Ndani.
* Inajitegemea Kwenye Fensi
* Maji yanatoka ndani
* Parking
β’ Mazingira TULIVU Na Mazuri
______
π *MUHIMU*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 400,000/=
______
0753-172-516