Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
BAR NA LODGE PAMOJA, INAUZA-BANK, TSHS.150 MILIONI, STOP-OVER KIMARA.
Hapa kuna nyumba 3 katika Kiwanja kimoja kikubwa ambapo unaweza kutanua ujenzi zaidi ikikupendeza.
NI NYUMBA YA BIASHARA.
LODGE ina jumla ya vyumba 10 vya kulala,
NYUMBA ina vyumba 3,Banda lenye VYUMBA 2 na
BAR ina KAUNTA 2.
Mali hii ipo umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 3,150.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.