Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KIMARA TEMBON AU UNAPITA KIBANDA CHA MKAA
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA.MASTER
SEBULE KUBWA MNO
JIKO KUBWA
PABLICK TOILET
NDANI YA FANCE
UMEME WAKO
MAJI YAKO
BEI 400K X 6
APARTMENT HIZ ZIPO 3 TU NDANI YA FANCE
BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
SIMU
0712656027



















