Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







Hii nyumba nzur sana
Ina room 3 kulala moja master bedroom sebule jjiko tailiz qpsum safi silad window safi
Ipo kimara Goran. Karibu sana na millennie
Ina uzwa tsh milion 70 mazungumzo yapo usiogope nyumba ya kuhamia tu hii
Nyumba Ina sifa zote
Tsh milion 70 mazungumzo yapo
Service charge tsh 30
Karibu sana..mjengooo huoooooo.....
0713320608
0686334182



















