Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Kinyerezi Mwisho.
Ukubwa: Sqm 600
Bei: Mil 80
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Mafeni
- Maji dawasco
- Fence
- Dakika 2
Unaweza nunua na kuhamia mwenyewe au kupangisha na kutengeneza faida.
Muhitaji piga 0688 412 890.