Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
PAGALE ZURI, VYUMBA VITATU (3) TSHS.28 MILIONI, KINYEREZI-SONGASI.
Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 1.5.
Kutoka Barabara ya Lami ya KINYEREZI/MBEZI.
Imepangiliwa kisasa:
Vyumba 3 ( Masta 1) Sebule, Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Hatua ya ujenzi ipo kwenye MKANDA wa LINTA.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.