Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


๐ NYUMBA INAUZWA KINYEREZI MONGOLANDEGE! ๐
Unatafuta nyumba ya kujimalizia na kuhamia? Hii hapa!
โ
Vyumba 3 (1 Master), Sebule, Jiko, Choo cha Umma
โ
Usalama wa uhakika
โ
Umeme & Maji vipo
โ
Ukubwa: 350 sqm
โ
Bei: Milioni 35 (Maongezi yapo)
๐ Piga simu: 0688 412 890
๐ Ofisi: Kinyerezi Mwisho Stendi
๐ธ Ada ya Kuona: Tsh 30,000
Fursa hii usiikose! ๐ก