Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


π NYUMBA INAUZWA KINYEREZI MONGOLANDEGE! π
Unatafuta nyumba ya kujimalizia na kuhamia? Hii hapa!
β
Vyumba 3 (1 Master), Sebule, Jiko, Choo cha Umma
β
Fensi na Geti - Usalama wa uhakika
β
Umeme & Maji vipo
β
Ukubwa: 500 sqm
β
Bei: Milioni 55 (Maongezi yapo)
π Piga simu: 0688 412 890
π Ofisi: Kinyerezi Mwisho Stendi
πΈ Ada ya Kuona: Tsh 30,000
Fursa hii usiikose! π‘



















