Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisima, Kilimanjaro







NYUMBA INA TUPWA WADAU WANGU TSH MIL 45 TU
IME KAMILIKA KILA KITU INA MPAKA KISIMA CHA MAJI
IPO MBAGARA CHAMAZ JILANI KABISA NA BARA BARA KUU YA LAMI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
ENEO SQUARE MITER 400 INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NJOO 🏃♀️➡️ BOSS WANGU NKUZIE HII NYUMBA NZURI SANA UKIWA SERIOUS UWEZI KUIYACHA NIPIGIE 0719 514377