Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







NYUMBA MBILI PAMOJA/VYUMBA 6,
TSHS.85 MILIONI, KITUNDA MWISHO.
Hapa ni KITUNDA MWISHO.
Uelekeo ni Barabara ya KINYANTILA.
Nyumba zote ni za kisasa,
Kila moja INAJITEGEMEA,
Na kila nyumba ina Vyumba 3( Masta 1)
Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Jumla kuna vyumba 6 vya kulala kwa nyumba zote mbili.
Panafaa sana kwa Familia kubwa au tena kwa matumizi ya Ofisi nk.
Inaweza pia kuishi kwenye nyumba moja na nyingine kuipangisha kuingiza kipato.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 360.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.