Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 3, TSHS.27 MILIONI, KIVULE/MAGOLE KWA-MPEMBA.
Wahi njoo upate pakuihifadhi Familia yako.
Hapa ni jirani na Stand.
Vyumba 3(Masta 1) Pia kuna Sebule,
Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba Ina Tiles na Juu Gypsum
Parking ya Gari moja pia ipo.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mskv