Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘 MPYAA ✨ INAUZWA
LOCATION: TEGETA MADALE
INA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILETS PIA INA SERVANT KOTA
BEI: TSH MILIONI 200 (MAONGEZI YAPO)
INA HATI MILIKI
ENEO LAKE LINA UKUBWA WA SQM 600
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ What’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com