Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa,
Ipo Madale Mwisho
Ina 665,Sqm
Bei Milioni 195,
Maongezi yapo
Hati Miliki ipo,
Nyumba ina Vyumba vitatu vyote ni Master, store, sebule , jiko na dining na garden ya kutosha.
Wasiliana nami kwa
0718809744
0784234971
Service charge 20,000



















