Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam



Pagale zuri sana la kisasa linauzwa:
Pagale lipo mtaa mzuri sana wa kishua km unavyoona majirani
Room 3 masta 2
Dirning sitting jiko stoo na public toilet
Eneo-sqm 450
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 70 maongezi
Location- madale polisi
Umbali-km 2 kutoka main road madale polisi
Karibuni
Dalali Tegeta 0718809744