Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam






Nyumba nzuri sana ya kisasa ya kumalizia finishing inauzwa:
Nyumba ipo mtaa mzuri sana ni kona plot
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko stoo public toilet na study room maji dawasco
Eneo-sqm 500
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 120 maongezi
Location- madale kwa kawawa
Umbali-km 1.8 kutoka main road madale
kalibun sana wateja pg sm
Piga simu O745010009 au 0742707023