Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MADALE MBOP0 - DAR ES SALAM.
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri (Full A/c & Fanced )
Bei : 80- Million (Maongezi Kidogo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=wasaliana Nas kwa no *#0652407997📲📲🇹🇿🇹🇿🇹🇿whatsp0767427997