Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Makongo, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KISASA INAUZWA NA BANK, TSHS.195 MILIONI,MAKONGO.
Ni nyumba kubwa yenye nafasi na ambayo ipo mtaa mzuri na jirani na Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuiona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.