Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Makongo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MAKONGO JUU ROAD- (MILLION 370)
Mawasiliano: 0782428327
Ina Vyumba Vitatu kimoja Self Contained, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo : SQM 700
Umbali: Meter 200 Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Goba Centre)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 370 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za kwenda site Ni Tshs 30,000/=
0782428327