Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Makongo, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA MPYA INAUZWA – MAKONGO ✨
Nyumba bora kwa makazi binafsi / Family Dream House 🏠💫
🔹 Vyumba 3 vya kulala (1 Master)
🔹 Sebule & Dining
🔹 Jiko kubwa la kisasa lenye makabati 🍽️
🔹 Store & Public Toilet
🔹 Boy’s Quarters
🔹 Garden 🌿
🔹 Space kubwa sana
🔹 Dakika 1 tu kutoka Main Road (Mlimani City) 🚗
📐 Sqm 800
📄 Hati ipo
💰 Bei: Milioni 365
👀 Viewing fee: 30,000/=
📞 Piga: +255688412890
🔥 Fursa adimu – miliki nyumba ya ndoto yako leo!



















