Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mapinga, Pwani
NYUMBA NZURI INAUZWA NA BANK, VYUMBA 3, TSHS.95 MILIONI,MAPINGA, BAGAMOYO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 4,900.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ina vyumba vya kulala 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia Ina Banda la Uwani lenye vyumba viwili (2)
Ni umbali wa mita 250 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.