Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAUZWA
IPO KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
DINING TABLE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
IPO YENYEWE KTK COMPOUND
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITA 400
BEI MILIONI 35 MAONGEZI YAPO KIDOGO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347