Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana inauzwa
Mbagala chamanzi karibu sana na uwanja wa Azam complex
Contact: 0755 454 251.☎️
0688 262 000
0715 423 267
Ina vyumba 3 moja self conteined
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Boykota ya room 1 na jiko
Eneo-sqm 500
Umiliki- Hati ya mauziano
Bei-ml 110 maongezi
Location- Mbagara chamanzi karibu sana uwanja wa Azam
Umbali-mita chache kutoka main road
Karibuni
Kwenda sait elf 50th


















