Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo mbagala mbande msongola, bei milioni 30 maongezi yapo kidogo. Nyumba ina rooms 3 vyakulala, sitting room, jiko, room moja ni master bedroom na public toilet ipo pia. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.