Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana ina uzwa tsh mil 27 tu
Ni nyumba ya 8 tu
Kutoka bara bara kuu ya lami ya chamaz
Nyumba ipo mbagala chamaz jiji la dar es salaam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa msufini
Vyumba vipo vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom
Ina stting room na dainingi room Ina jiko na store Ina public toilet π» Ina maji na umeme upo wa luku ina fens bado kuimalizia tu
Njoo πββοΈββ‘οΈ boss wangu nkuzie hii nyumba nzuri sana bei ya kutupa sanaβοΈ0623997896