Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM BEI MILIONI 80
0759128747 0712058357
0624436503 WHATSAPP
NYUMBA INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM SITTINGROOM DININGROOM JIKO STORE PUBLICK TOILET INA MAJI UMEME FENCE NK
NYUMBA INA HATI YASEREKALI YAMTAA
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 700
UMBALI KUTOKA MAIN ROAD MITA 200
NYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZOTE ZAKIJAMII
WOTE MNAKARIBISHWA