Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO GOBA ROAD KWA ROBERT - (MIL 45)
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Ina Vyumba Vitatu Viwil Ni Self Contained, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Umbali: 1 Kilometres Kutoka Barabara Kuu Ya Lami (Goba Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Bei : 45 Million (Maongezi Yapo )
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
.
.
.
.
.
.
.
#tanzania #diamondplatnumz #yangasc #simbasc #daressalaam #hajimanara #sammisagonews #grobalpublisher #cloudstvtz #mwanza #simbasc #fyp #viral #creatorsearchinsights #reelschallenge #instavideo #forsale #market #agent #everyone