Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam






NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWEMBE WILAYA YAUBUNGO
BEI MILIONI : 120
maongezi yapo
___________________ .philipo
Inavyumba vitatu
Kimoja master
Sebule kubwa
Daning yachakula
Jiko nastoo yake
__________________
Ukubwa waeneo
Sqmt 400
_____________________
BEI MILIONI 120
Maongezi yapo
Umbali kilometers 3
Kutoka lami
0746 433 854