Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA
NYUMBA NI YA KUHAMIA TU YAANI IMEKAMILIKA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER
INA SEBULE KUBWA SANA JIKO LA KISASA NA DINING NA CHOO CHA WAGENI NA BAFU ZURI
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE MITA 400
BEI NI TSH 55 MILIONI
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO SELEKALI YA MITAA NYUMBA HII IPO MBEZI KITONGOJI CHA KWEMBE WILAYA YA KIBAMBA
NYUMBA IPO JIRANI NA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII
UNAWEZA KUPITIA MBEZI NJIA YA MSIGANI AU MBEZI MALAMBA MAWILI MSIKITINI NA KOTE UNAFIKA KWA WAKATI NAULI 1000 KWA BAJAJI KWA BODA BODA 2000 KWA KUTOKEA MBEZI STAND YA MWENDOKASI
GALAMA ZA KUPELEKWA SITE KUKAGUA NI TSH 30.000/.
SIMU
0712656027