Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA NI GOROFA MOJA
INAUZWA IPO MBEZI MAGUFULI KWA YUSUFU
=====
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,2
BAJAJI. 1000/
DALADALA 700/
====
BEI NI MILIONI 270/=
MAONGEZI YAPO
SIFA ZA NYUMBA
================
JUU GOROFANI KUNA
VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA DAINING JIKO NA CHOO CHA PABLIC
===
CHINI KUONA VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA JIKO NA CHOO CHA PABLIC
===
UMEME NA MAJI DAWASA
UKUBWA WA ENEO NI
SQMT 1400/=
DOCMENTI ZA MAUZIANO SELEKALI YA MTAA
ENEO LIMEPIMWA LIMEWEKWA MAWE
BADO HATI MILIKI
====
NI MTAA WA KISHUA
NDUGU MTEJA
NJOO CHAP UMILIKI JUMBA LA KIFAHALI TIMIZA NDOTO YAKO LEO
====
KUONA NYUMBA 30,000/=
0679447338
0753454167