Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


PAGALE ZURI SANA LINAUZWA NA MWENYEWE MBEZI MPIJI MAGOHE NJIA PANDA YA MAKABE
PLOT SIZE: SQM 400
UMILIKI: MKATABA WA SERIKALI YA MTAA
SIFA ZA NYUMBA:-
VYUMBA VITATU VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA NI MASTER
SEBULE
DINNING
JIKO NA STORE
CHOO CHA PUBLIC
BEI: TSH MILIONI 15
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE TZS 50K