Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
**NYUMBA INAUZWA โ TZS MILIONI 47 (MAONGEZI YAPO)**
๐ *MBEZI CHUO CHA SAINT JOSEPH* - Dar es Salaam, Tanzania
โ Vyumba vitatu vya kulala (kimoja ni master)
โ Sebule
โ Chumba cha kulia (Dining room)
โ Jiko
โ Choo cha umma
โ Ukubwa wa kiwanja: 400 sqm
๐ Pia kuna servant quarter yenye vyumba vitatu; ukizimalizia, unaweza kuweka wapangaji.
๐ *Hati ya mauziano* (Sales agreement) kutoka serikali za mitaa. Kiwanja kimepimwa, na hati miliki itatoka kwa jina la mteja atakayenunua.
๐ง Maji safi (Dawasco) na umeme vipo kwenye nyumba.
๐ Nyumba ipo mtaa mzuri sana, umbali wa mita 900 tu kutoka Morogoro Road (Chuo cha Saint Joseph).
**Visitation fee: TZS 30,000**
0614130017 whatsap
0788156493
0760053111