Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 32
MAONGEZI YAPO
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KUTOKA
KILOMITA 2 HADI SAYITI
USAFIRI BAJAJI 700
BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE CHOO CHA PABILIKI
JIKO
UKUBWA WA ENEO
SM 350
HUDUMA ZA KIJAMII KAMA MAJI UMEME VYOTE
VIMEFIKA
NYUMBA INA UMEME TAYARI
IPO NDANI YA FENSI
MWENYE NYUMBA ANA SHIDA SANA HATA KWA AWAMU ANACHUKUA
KUPELEKWA KUONA ELFU 25000
BARABARA INAFIKA HADI SAYITI
PIGA SIMU
0789352273 // 0716171830